LBRY Block Explorer

LBRY Claims • live-huku-pape-sakho-pembeni-clatous

66d12460aac55757af20b3e262b678bbb0d7f578

Published By
Anonymous
Created On
10 Mar 2022 18:36:18 UTC
Transaction ID
Cost
Safe for Work
Free
Yes
LIVE: Huku Pape Sakho pembeni Clatous Chama…ni Hatari Mazoezi ya Simba kuwaua Mbeya City
LIVE: Huku Pape Sakho pembeni Clatous Chama…ni Hatari Mazoezi ya Simba kuwaua Mbeya City

Kikosi cha Simba Sports Club kimetua salama jijini Mbeya tayari kwa ajili ya maandalizi ya mechi ya Ligi Kuu ya NBC dhidi ya wenyeji wao Mbeya City.

Kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii Simba Sports Club wamepost picha mbalimbali zikiwaonesha wakiwa katika mazoezi ya misuli na viungo kwenye mojawapo ya gym zilizopo mkoani Mbeya.

Kivutio kikubwa zaidi ni Clatous Chama Mwamba wa Lusaka aliyekuwa pamoja na kikosi kufanya mazoezi ya pamoja

https://www.youtube.com/watch?v=st1HOAIMG20
Author
Content Type
Unspecified
video/mp4
Language
Open in LBRY