LBRY Block Explorer

LBRY Claims • patachimbika-ahmed-ally-amjia-juu

a82479d1e75bb18e7993de40864304bf19fc4e06

Published By
Anonymous
Created On
10 Mar 2022 19:13:57 UTC
Transaction ID
Cost
Safe for Work
Free
Yes
PATACHIMBIKA: Ahmed Ally Amjia Juu Engineer Hersi wa Yanga| Hii Ligi Sio Ya Kwenu| “Yanga Wanabebwa”
PATACHIMBIKA: ahmed ally amjia juu engineer hersi wa yanga|hii ligi sio yakwenu|adai yanga wanabebwa

msemaji wa simba ahmed ally ame kuja juu baada ya kitendo cha engineer hersi wa yanga kupewa jezi uwanjani na captain wa yanga adai kuwa ni kitendo cha uonevu na kwanini mechi isimamishwe ili kupitisha tukio ambalo sio la kimichezo na halihusikii na mchezo huo

aidha tukio hilo limetokea kwenye mechi yao dhidi ya mbao ambapo kabla ya mchezo tukio la kumpa jezi engineer huyo limepigwa vikali sana na bado yanga na tff hawajatoa tamko lolote lile

https://www.youtube.com/watch?v=UdjwGFUesb4
Author
Content Type
Unspecified
video/mp4
Language
Unspecified
Open in LBRY